• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Idara ya Mipango, Takwimu na Usimamizi


MAJUKUMU YA IDARA YA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ina jukumu la kuratibu na kusimamia shughuli za miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na:

  1. Kuratibu uandaaji wa bajeti ya Mpango wa Maendeleo wa Halmashauri, kuanzia ngazi ya Kijiji, Kata hadi Wilaya.
  2. Kuratibu uandaaji wa mpango kazi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya bajeti kupitishwa.
  3. Kuratibu utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na usimamizi na ufuatiliaji utekelezaji wa miradi kuanzia ngazi ya Vijiji, Kata hadi Wilaya.
  4. Kuratibu uandaaji wa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kila robo mwaka na mwaka.
  5. Kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa Kuzingatia thamani (Value for Money) na inatekelezwa kwa wakati uliopangwa (Time frame).
  6. Shughuli nyingine ni pamoja na kuratibu matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo na kuzitolea taarifa ya utekelezaji.
  7. Kuratibu utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama tawala na kutoa taarifa za utekelezaji wa ilani kwa nusu mwaka na mwaka.
  8. Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi kuhusu shughuli za maendeleo ya Wilaya na kufanya shughuli zote zitakazoagizwa na Mkurugenzi wa Wilaya.
  9. Kuhudhuria vikao mbalimbali vya kudumu vya Halmashauri pamoja na kuratibu maagizo mbalimbali yatokanayo na vikao.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAAJIRIWA WAPYA KADA YA ELIMU NA AFYA July 04, 2022
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 16, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA May 24, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA SENSA May 05, 2022
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • WILAYA YA MWANGA YANG'ARA TENA KITAIFA

    August 02, 2022
  • MKOA WA KILIMANJARO WAIBUKA KIDEDEA KATIKA TAMASHA LA KITAIFA LA UTAMADUNI

    July 03, 2022
  • Tanzania Utamaduni Carnival yaiteka Dar

    July 02, 2022
  • VIJANA WA MWANGA WAMWAAHIDI MKURUGENZI JAMBO KATIKA UJIO WA MWENGE WA UHURU

    May 17, 2022
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa