Posted on: May 7th, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ni miongoni mwa Halmashauri ambazo leo shule zake zenye kidato cha sita wameanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha sita.
Akizingumzia kuhusu maandalizi ya mtihani ...
Posted on: May 2nd, 2018
Katika hali isiyo ya kawaida, mvua zinazo endelea kunyesha zimeendelea kuleta madhara makubwa Wilayani Mwanga kiasi cha kupelekea wananchi kupata adha mbalimbali. Pamoja ya kwamba mvua hizi zimenyesha...
Posted on: April 21st, 2018
Ikiwa kama sehemu ya kuendeleza michezo Wilayani Mwanga, leo ilikuwa siku ya kuhitimisha michezo ya Habibu Cup, michezo ambayo inafadhiliwa, kusimamiwa na kuendeshwa na Taasisi ya Elimu ya Green Bird ...