Posted on: June 21st, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imepatiwa kiasi cha Tsh. 230,000,000/= (milioni miambili na thelathini) na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na mabweni ya kidato cha tano katika Shule ya Sekond...
Posted on: June 21st, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kupitia Idara ya Elimu Msingi na Sekondari wanatarajia kuwa na juma la elimu tarehe 11 Julai, 2018. Juma hilo ambalo litahusisha wadau mbalimbali wa Elimu litafanyika k...
Posted on: May 8th, 2018
Ikiwa imebaki miezi miwili kufunga mwaka wa Serikali wa 2017/2018, Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imefanya vizuri sana kwa kuweza kukusanya mapato kwa asilimia 99.09. Hii ni ishara kuwa, Halmashauri ...