Posted on: July 11th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, imeendelea kuneemeka hususani kwenye vituo vya afya ambapo, kwa mara nyingine tena imepatiwa kiasi cha Tsh milioni 400 kwa ajili ya upanuzi wa kituo cha afya Kigonigon...
Posted on: July 4th, 2018
Shule ya wasichana ya Dr. Asharose Migiro ni miongoni mwa shule zinazovutia kwa namna miundombinu ya shule hiyo inavyo zidi kujengwa mithili ya uyoga unaoota na kukuwa ndani ya muda mfupi. Ni ndani ya...
Posted on: July 2nd, 2018
Kituo cha afya cha Kisangara kilichopo Kata ya Lembeni, kimenufaika kwa kupata Milioni 400 kutoka serikalini. Fedha hizo zimetumika kujenga majengo mapya manne ambayo ni maabara, upasuaji, wazazi (mat...