Posted on: January 25th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, jana iliendesha zoezi la kuogesha mifugo, zoezi ambalo uzinduzi wake ulifanyika katika kata ya Kileo.
Katika zoezi hilo ambalo lilizinduliwa na Kaimu Mkurugenzi wa ...
Posted on: January 9th, 2019
Hayo yamesemwa leo na Afisa Lishe wa Wilaya ya Mwanga, Ndg. Jacob Minja alipokuwa akiwasilisha taarifa fupi ya utoaji wa matone ya vitamin ''A'' kwa wajumbe wa kamati ya lishe Wilaya.
Ndg. Min...
Posted on: January 4th, 2019
•NDOO 150 ZAKAMATWA
•MAGARI 2 NA PIKIPIKI 2 ZASHIKILIWA
Huku kukiwa bado kuna zoezi la operesheni ya uvuvi haramu katika bwawa la Nyumba ya Mungu, bado kuna baadhi ya wavuvi na wafanya biashara ...