Posted on: December 28th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Ndg. Aaron Y. Mbogho, jana amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Taifa katika Wilaya ya Mwanga ambapo jumla ya vitambulisho 24,457 viko tayari.
Akiwa anasom...
Posted on: December 7th, 2018
Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Mwanga Bi. Mariana Mgonja, leo amefanya kikao kazi na wataalamu wake ambao ni Maafisa wa Idara ya elimu msingi, Waratibu Elimu Kata na Walimu Wakuu. Kikao hicho lengo lake...
Posted on: December 1st, 2018
Katibu Mkuu Wizara ya Uvuvi Dr. Rashid Tamatama ashiriki kuteketeza nyavu haramu zinazotumika kuvulia Samaki katika Bwawa la Nyumba ya Mungu. Katika uteketezaji wa Nyavu haramu, katibu mkuu alipokea t...