Posted on: March 27th, 2019
Ikiwa ni mpango wa Serikali kudhibiti vitendo vya kikatili na vya unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto, Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kwa kushirikiana na asasi zisizokuwa za Serikali, imefanikiwa...
Posted on: March 12th, 2019
Asema, wakahojiwe, ni kwanini msitu wa hifadhi uvamiwe.
Mhe. Mkuu wa Wikaya ya Mwanga, Ndg. Thomas C. Apson, ameviagiza vyombo vya usalama kuwaweka ndani na kuwahoji M/Kiti wa Kijiji cha Kileo...
Posted on: January 25th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, jana iliendesha zoezi la kuogesha mifugo, zoezi ambalo uzinduzi wake ulifanyika katika kata ya Kileo.
Katika zoezi hilo ambalo lilizinduliwa na Kaimu Mkurugenzi wa ...