Posted on: March 17th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, jana tarehe 16.03.2020 imegawa mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu, mikopo ambayo itawasaidia katika kuinua biashara zao na kipato cha kuendesha maisha...
Posted on: March 6th, 2020
Leo, Waziri wa Wizara ya Maji Prof. Makame Mbarawa (Mb) amezuru Wilaya ya Mwanga na kuwahakikishia wananchi wa Mwanga kuwa, siku siyo nyingi watapata maji ya kutosha kutoka kwenye mradi mkubwa wa maji...
Posted on: February 13th, 2020
Jana tarehe 12 Februari, 2020, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dr. Faustine Ndugulile alifanya ziara ya kikazi Wilayani Mwanga na kuweza kutembelea Hospitali ya ...