Posted on: July 28th, 2021
Kamati ya Fedha na Uongozi ya Halmasgauri ya Wilaya ya Mwanga inategemea kutembelea miradi ya maendeleo tarehe 29/07/2021. Miradi itakayotembelewa ipo katika kata za Mwanga, Lembeni, Mgagao, Lang'ata ...
Posted on: May 6th, 2021
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, jana tarehe 05 mei, 2021, ilitembelea miradi minne ya maendeleo iliyopo hapa Wilayani Mwanga. Katika miradi hiyo, miradi miwili ...
Posted on: February 16th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mhe. Tadayo Anania amemuagiza Afisa Ardhi wa Wilaya ya Mwanga kuhakikisha kuwa anatenga Hekari 54 kwa ajili ya kujenga Hospitali mpya ya Wilaya ya Mwanga, kutenga hekari 25 k...