Posted on: March 10th, 2022
Serikali imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kiasi cha fedha Bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya y...
Posted on: February 11th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mhe. Abdallah Mwaipaya, jana amepokea madawati 236 kutoka benki ya Mwanga Hakika. Madawati hayo yametolewa na benki hiyo ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika sekta ya elimu n...