Posted on: May 12th, 2023
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, jana tarehe 11 Mei, 2023, ilitembelea na kukagua viwanda sita vilivyopo katika Wilaya ya Mwanga. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ...
Posted on: May 3rd, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema kwamba, anaridhishwa na kasi aliyo iona katika ujenzi wa Hospitali Mpya ya Wilaya ya Mwanga.
Mhe. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo jana tarehe 02.05....
Posted on: April 24th, 2023
Leo Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imeadhimisha sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano kwa kufanikiwa kupanda zaidi ya miti 200 katika eneo ambalo hospitali mpya ya Wilaya ya Mwanga inaendelea kujengwa. Sik...