Posted on: May 19th, 2023
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, leo wamekabidhiwa Lori jipya na Guta jipya. Makabidhiano hayo yamefanywa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bi. Mwajuma A. Nasombe...
Posted on: May 18th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga ambayo ni miongoni mwa Halmashauri saba za Mkoa wa Kilimanjaro, imekuwa ikifanya vizuri katika mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa.
Michezo hiyo ambayo inajumuis...
Posted on: May 17th, 2023
Kamati ya Elimu Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga leo imepitia na kukagua miradi ya elimu na afya inayo endelea kujengwa Wilayani Mwanga. Kamati hiyo, imepitia jumla ya miradi minne. Mir...