• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII

  1. Kuhamasisha / Kuhimiza Jamii kuwa na ari yakujituma kutumia fursa mbalimbali zilizopo katika maeneo yao ili kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla
  2. Kuhamasisha Jamii kuanzisha, kushiriki na kuchangia nguvu zao katika  utekelezaji wa  miradi ya Maendeleo
  3. Kuhamasisha Jamii kuanzisha vikundi vya kijamii ili kujiongezea kipato na kuweza kuitumia fursa ya mikopo nafuu inayotolewa na Halmashauri ya Wilaya hususani vikundi vya vijana na wanawake
  4. Kuratibu shughuli za mashirika yasiyo ya kiserikali
  5. Kuelimisha Jamii kuhusu haki za msingi za watoto pamoja na kupiga vita ukatili dhidi ya watoto na wanawake.
  6. Kutoa tafsiri ya sera mbalimbali za kitaifa kwa jamii kama sera ya mtoto ya mwaka 2008, sera ya wanawake na sera ya maendeleo ya jamii
  7. Kutoa mafunzo ya ujasiriamali na usajili wa vikundi vya kijamii
  8. Kuratibu shughuli za mapambano dhidi ya UKIMWI
  9. Kuratibu shughuli za TASAF
  10.  Kuratibu Dawati la uwezeshaji jamii kiuchumi
  11.  Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji kuhusu maswala  yote yanayohusu Idara ya Maendeleo ya Jamii

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 02, 2023
  • TANGAZO LA KAZI February 02, 2023
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • SHIRIKA LA WORLD VISION LIMETOA MSAADA WA CHAKULA SHULENI KATIKA WILAYA YA MWANGA NA SAME; MKUU WA MKOA AFURAHISHWA

    March 22, 2023
  • SERIKALI YALISHUKURU KANISA LA KKKT KWA MSAADA WA CHAKULA KWA WANANCHI WILAYANI MWANGA

    March 17, 2023
  • MRADI WA MAJI WA SAME, MWANGA, KOROGWE WAANZA KWA KASI

    March 13, 2023
  • Mwenyekiti wa Halmashauri akutana na Menejimenti ya Chuo cha Mwika

    March 03, 2023
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa