• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu/Majukumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

ZOEZI LA KUOGESHA MIFUGO LAENDA VIZURI WILAYANI MWANGA

Posted on: January 25th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, jana iliendesha zoezi la kuogesha mifugo, zoezi ambalo uzinduzi wake ulifanyika katika kata ya Kileo.

Katika zoezi hilo ambalo lilizinduliwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Ndg. Ezekiel Mwasumbi, jumla ya ng'ombe 577 walipatiwa huduma ya kuogeshwa.

Afisa Mifugo wa Kata ya Kileo, Ndg. Huseni Msemo, akiwa anasoma risala ya ufunguzi wa zoezi hilo, mbele ya Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, alisema, kuna faida nyingi ambazo wafugaji watazipata kutokana na mifugo yao kuogeshwa ikiwa ni pamoja na ng,ombe kupata dawa mwili mzima tofauti na kuogesha kwa bomba la mgongoni, kuzuia magonjwa mengi na kuondoa magonjwa mwilini.

Naye akizungumza mbele ya wafugaji walioleta mifugo yao kwa ajili ya kuogeshwa, Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Ndg. Emmanuel Sindiyo alisema Halmashauri ina jumla ya majosho 16 ambapo majosho 2 tu ndiyo mazima. Amesema, kwa mwaka mpya wa fedha 2019/20, Halmashauri inatenga bajeti kwa ajili  ya kuboresha majosho. Afisa Mifugo huyo aliendelea kusema, kwa siku ya kwanza, mifugo 2,000 ya awali itaogeshwa bure na siku zitakazo fuata mifugo italipiwa gharama za kuogeshwa ambapo gharama itakuwa Tsh.600 kwa ng'ombe na Tsh. 100 kwa mbuzi mmoja.

Zoezi hili la kuogesha mifugo ni zoezi ambalo ni endelevu na la lazima. Kila mwananchi ambaye ni mfugaji, ni lazima ahakikishe kuwa anapeleka mifugo ili iogeshwe. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya mifugo ya mwaka 203, alisema Afisa Mifugo na Uvuvi.

Matangazo

  • MPANGILIO WA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 HUU HAPA January 04, 2019
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI KWA KILA SHULE YAKO HAPA January 04, 2019
  • WALIOPANGWA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA MWANGA, WASICHANA December 15, 2018
  • MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2018 November 02, 2018
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • ZOEZI LA KUOGESHA MIFUGO LAENDA VIZURI WILAYANI MWANGA

    January 25, 2019
  • 97% YA WATOTO WAPATIWA MATONE YA VITAMIN "A" NA DAWA ZA MINYOO

    January 09, 2019
  • WATUHUMIWA SUGU WA UVUVI HARAMU WATIWA MBARONI

    January 04, 2019
  • WAFANYA BIASHARA WADOGO WAPATIWA VITAMBULISHO WILAYANI MWANGA

    January 03, 2019
  • Tazama Yote

Video

MBIO ZA MWENGE 2017
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Greenbird college round about to Bomani road

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 2757652

    Namba ya Simu: +255652565207

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa