• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu/Majukumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI WILAYANI MWANGA WAPATIWA ELIMU JUU YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Posted on: March 21st, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kwa kushirikiana na asasi isiyo ya serikali NAFGEM (Networking Against Female Genital Mutilation) inafanya zoezi la kutoa elimu ya kijinsia mashuleni mahsusi juu ya unyanyasaji wa watoto.

Elimu ambayo inatolewa kwa watoto ni pamoja na haki za watoto kwa mujibu wa katiba na sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Elimu hii inafaida kubwa kwa watoto, kwani wanapata kufahamu haki zao ikiwa ni pamoja na, haki ya kulindwa, kuishi, kusoma, kucheza, lishe bora, malazi bora, kupatiwa matibabu nk. Watu muhimu wa kuwapatia watoto haki zao ni wazazi/walezi pamoja na walimu na haki zote hizi inatakiwa watoto wazipate wakiwa mahali popote kama mazingira ya shule na nyumbani.

Katika kuhakikisha kuwa zoezi hili linafanyika kwa ufanisi wadau mbalimbali wameweza kushirikishwa kwenye mafunzo hayo. Wadau walioshirikishwa ni pamoja na  Mkuu wa Wilaya, Kamanda wa Polisi, Polisi Dawati la Jinsia na Watoto, Mwanasheria wa Halmashauri, Maafisa Elimu Shule za Msingi na Sekondari, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mratibu wa Afya ya Uzazi, Afisa Ustawi wa Jamii, Afisa Maendeleo ya Jamii, Waratibu wa Afya Shuleni na Watendaji wa Kata za Kirya, Mgagao, Toloha na Lang’ata.

Zoezi hili la kutoa elimu kwa wanafunzi lilianza tarehe 19 Machi, 2018 katika shule ya msingi Mramba na litaendelea kwa shule zote za msingi za wilaya ya Mwanga. Hadi kufikia siku ya tarehe 20 Machi, 2018 shule za msingi Mramba, Mwangondi na Mwanga zilishapatiwa mafunzo ambapo mafunzo hayo yametolewa kwa jumla ya wanafunzi 1313.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za Wajumbe wa Bodi ya Afya ya Halmashauri, Kamati za usimamizi ngazi ya Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati kipindi cha kuanzia Julai, 2018 hadi Juni 2021 April 19, 2018
  • Siku ya kupanda miti Kimkoa kufanyikia Wilayani Mwanga Tar 06 Aprili, 2018 April 04, 2018
  • HAFLA YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM TAR 06 MACH, 2018 February 28, 2018
  • SIKU YA WANAWAKE TAREHE 08 MACHI, 2018 March 02, 2018
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • Taasisi ya Elimu ya Green Bird yazidi kuendeleza michezo Mwanga

    April 21, 2018
  • WILAYA YA MWANGA KUWA NA MTIHANI MMOJA KWA SHULE ZOTE

    April 10, 2018
  • Mtoto Anthony mwenye uwezo wa ajabu apata ufadhili

    April 09, 2018
  • TARURA INAVYOCHAPA KAZI WILAYANI MWANGA

    April 05, 2018
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Greenbird college round about to Bomani road

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 2757652

    Namba ya Simu: +255652565207

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa